NIRC Dodoma Mwenyekiti Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Dkt. Richard Masika amekiri kuridhishwa na hatua zinazofanywa na Tume katika utekelezaji miradi ya Umwagiliaji ikiwemo mradi wa ujenzi bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Dkt. Masika ametoa kauli hiyo mara baada ya kufanya ziara katika bwawa hilo ambapo kwa sasa... Read More
Arusha NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tamisemi anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila ameagiza wakandarasi wanaojenga barabara za Engosheraton, Olasiti na Oljoro patakapojengwa stendi mpya ya mabasi kwa Jiji la Arusha zikamilike kwa wakati. Agizo hilo lilitolewa Jijini hapa na Mhandisi Mativila wakati alipotembelea barabara hizo tatu zenye urefu wa kilomita 12.1 kupitia Mradi wa... Read More
Mkurugenzi wa Miundo, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw. Peter Mhimba akizungumza na washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja (hawapo pichani) kutoka ofisi za wakuu wa mikoa, wakati akifunga mafunzo hayo mjini Morogoro yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha... Read More
Na Mwandishi wetu – Malunde 1 blog Taasisi ya HolySmile imetoa tuzo kwa wadau mbalimbali wanaofanya vizuri katika utoaji wa huduma na utekelezaji wa miradi yenye manufaa kwa jamii ya Shinyanga katika kutoa hamasa kwa taasisi na kuchagiza uwajibikaji. Hafla hiyo imefanyika Februari 1, 2025 katika ukumbi wa Makindo uliopo manispaa ya Shinyanga ikihudhuriwa na... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA),CPA Anthony Kasore,alipotembelea banda la VETA katika Maonesho ya uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete... Read More
Na. Edmund Salaho – Saadani. Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, Musa Nassoro Kuji leo tarehe 01, Februari 2025 ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kuboresha miundombinu ikiwemo Barabara ambazo kwa kiasi kikubwa zimechangia ongezeko la wageni katika Hifadhi ya Taifa Saadani. Kamishna Kuji ameyasema hayo wakati wa Kikao kazi kilichofanyika katika Hifadhi ya... Read More
Na Mwandishi wetu, Mirerani WAFANYABISHARA wa madini ya Tanzanite wa mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wamempongeza Mkurugenzi wa kampuni ya Chusa Mining LTD, Joseph Mwakipesile kwa kufanikisha mnada wa madini kwenye eneo hilo. Katika mnada huo uliofanyika ndani ya ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite gramu 4,874.16 za madini ya Tanzanite... Read More
Na Baltazar Mashaka, Mwanza WAISLAMU mkoani Mwanza, kwa kushirikiana na viongozi wa dini na siasa,wamemuombea dua Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, wakisema kuwa maendeleo makubwa yanayoendelea kutekelezwa chini ya uongozi wake ni ishara ya upendo na umoja wa kitaifa. Dua hiyo imefanyika nje ya Msikiti wa Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally, leo na kuhusisha viongozi... Read More