0 Comment
Katibu wa CCM ilaya ya Ilemela, Hassan Millanga, akisisitiza jambo katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Ilemela, leo. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela,Renatus Mulunga (wa pili kutoka kulia),leo akizindua mitambo ya ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kukata utepe,kulia ni Naibu Meya,Manusura Said.Mitambo hiyo imegharimu bilini 1.6. Mstahiki Meya wa Ilemela,... Read More






