0 Comment
TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao imefanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima ambapo ameahidi kutoa ushirikiano kwa taasisi hiyo ambayo ipo chini ya Mwenyekiti wake Steven Nyerere. Akizungumza mara baada ya kufanya mazungumzo, Steven Nyerere amesema kuwa Waziri Gwajima anatambua umuhimu wa Wanawake hasa... Read More










