0 Comment
*Mkandarasi barabara ya Ilula Image-Ilambo atakiwa kurejea kazini mara moja Iringa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff, amesema serikali inaridhishwa na kazi zinayofanywa na wakandarasi wanaojenga barabara za Mtili – Ifwagi (Km. 14) na Wenda – Mgama (Km. 19) ambazo zinagharimu bilioni 52. Barabara hizo zinajengwa chini... Read More










