0 Comment
Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta akizungumza na washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kutoka ofisi za wakuu wa mikoa, wakati akifungua mafunzo hayo mjini Morogoro yanayotolewa katika na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu... Read More










