0 Comment
Mwamvua Mwinyi, Pwani Jan 30, 2025 Baadhi ya wadau walipa kodi Mkoani Pwani, wametoa mapendekezo kwa Serikali kusaidia kupunguza utitiri wa kodi na ushuru ili kulinda mitaji yao na kujipatia faida kulingana na biashara zao. Aidha, wameomba Serikali iweke mazingira bora ya kodi ili kila mmoja achangie pato la Taifa bila vikwazo. Mwenyekiti wa TCCIA... Read More








