0 Comment
Na Silivia Amandius. Kagera. Waandishi wa habari mkoani Kagera wamepewa elimu juu ya ugonjwa wa Marburg na kuhamasishwa kuzingatia usalama wao pamoja na kuandika habari za kitaalamu ili kuepusha taharuki kwa jamii. Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Hajjat Fatma Mwasa, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika semina hiyo, amewataka waandishi wa habari kuhakikisha wanaripoti kwa... Read More











