0 Comment
Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. …………… Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imewasihi wadau wa Ununuzi wa Umma Mikoa ya Kanda ya Ziwa kushiriki mafunzo ya... Read More









