0 Comment
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye, amewasili jijini Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaofanyika nchini kuanzia tarehe 27 hadi 28 Januari 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Mheshimiwa Rais Ndayishimiye amepokelewa na... Read More










