0 Comment
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ,Bw.Gerson Msigwa,akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma na Morogoro (hawapo pichani) akielezea utekelezaji wa Serikali wakati wa Mkutano uliofanyika leo Januari 25,2025 katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi,Morogoro. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa... Read More










