0 Comment
NA EMMANUEL MBATILO, KOROGWE TANGA TAASISI ya HakiElimu imezindua Mradi wa Mageuzi ya Usawa wa Kijinsia katika elimu ambao umelenga kuboresha Miundombinu ya Maji, Usafi wa Mazingira pamoja na Kupunguza Ukatili wa Kingono na Kijinsia ili Kuhakikisha Wasichana Wanaendelea na Masomo na kutimiza ndoto zao za kielimu. Mradi huo unaofadhiliwa na serikali ya Canada kupitia... Read More










