0 Comment
Meneja wa TRA Mkoa wa Kodi wa Kariakoo, Kabula Mwemezi (aliyesimama) akizungumza katika wa semina ya siku moja kwa viongozi wa Serikali za mtaa mkoa wa kodi Kariakoo ambapo pamoja na mambo mengine viongozi hao wamepewa elimu ya ukusanyaji wa kodi za pango katika nyumba za biashara na makazi. MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA),... Read More








