0 Comment
*Awataka wachimbaji wote nchini kuzingatia sheria na kanuni za madini *Alekeza Maafisa Madini kusimamia sheria ili kupunguza migogoro kwenye sekta ya Madini Dodoma Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amewataka wachimbaji kote nchini kuhakikisha wanazingatia sheria na kanuni ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima. Mh Mavunde ameyasema hayo jana Jijiji Dodoma wakati wa kikao cha... Read More










