0 Comment
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El Maamry Mwamba, akizungumza na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), wakati akiongoza kikao maalum kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), walipofanya ziara katika Ofisi ya Wizara ya Fedha jijini Dodoma. Kiongozi wa Msafara wa Timu ya Wataalam... Read More









