0 Comment
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF, umeshiriki kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara Zanzibar ‘Zanzibar International Trade Fair’ ambapo umewawezesha wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya za Walengwa kutoka visiwa vya Pemba na Unguja kuonesha na kuuza bidhaa mbalimbali wanazozizalisha. Pia katika maonesho hayo, wananchi kutoka maeneo mbalimbali wanapata fursa ya kujifunza namna TASAF... Read More










