0 Comment
NAIBU Waziri wa Madini na Mbunge wa Longido Mkoani Arusha,Dkt Steven Kiruswa amewataka viongozi wa Milla wa Jamii ya Kimasai maarufu kwa jina la Malaigwanani kukemea tabia ya jamii hiyo kutaka kuchagua viongozi wa kichama na kiserikali kwa kufuata makundi ya Uko na rika na kusema kuwa hiyo itawanyima watu demokrasia ya kuchagua viongozi bora... Read More










