0 Comment
……………… Na Sixmund Begashe – Mlele Maafisa na Askari wa Jeshi la Uhifadhi nchini wametakiwa kujiepusha na vitendo viovu vya aina yoyote ikiwemo rushwa wakati wa kutekeleza majukumu yao ya Uhifadhi ili kuepuka madhara makubwa yanayoweza kuwapata wao wenyewe, familia zao na Taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili... Read More











