0 Comment
BAADA ya Yanga kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, mabosi wa klabu hiyo wamewatunuku mastaa wa kikosi hicho Sh200 milioni kufuatia kazi kubwa waliyoifanya. Yanga ambayo ilikuwa na kibarua kizito baada ya kupoteza mechi ya kwanza ugenini dhidi ya Silver Strikers ya Malawi kwa bao 1-0, Jumamosi iliyopita ilishinda nyumbani 2-0 na... Read More

