0 Comment
BARCELONA: MSHAMBULIAJI wa FC Barcelona Marcus Rashford amesema klabu yake ya zamani Manchester United imepoteza mwelekeo kwakuwa kuna ukosefu wa mikakati thabiti jambo linalopelekea United kuwa ‘Shamba la bibi’ Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliyeichezea United mara 426 baada ya kuibuliwa kutoka kwenye Akademi ya klabu hiyo awaambia wanahabari Gary Neville na Micah... Read More






