0 Comment
CHINA: MSHIRIKI wa mashindano ya Italia, Mattia Debertolis, amefariki dunia baada ya kuanguka wakati wa mashindano ya Michezo ya Dunia yanayoendelea Chengdu, China. Mattia Debertolis mwenye miaka 29, alipatikana akiwa amepoteza fahamu mnamo Agosti 8 wakati akishiriki fainali ya masafa ya kati ya wanaume na aliaga dunia siku nne baadaye, kwa mujibu wa taarifa ya... Read More


