0 Comment
Kampuni ya michezo ya kubashiri, SportPesa, imeingia mkataba wa miaka mitatu na Klabu ya Yanga wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7. Kwa mujibu wa mkataba huo, Yanga itavuna Shilingi Bilioni 7.2 kila mwaka, ndani ya kipindi cha miaka hiyo mitatu. Akizungumza wakati wa kusaini mkataba huo, Mkurugenzi wa SportPesa, Abass Tarimba, alisema kuwa mbali... Read More





