0 Comment
Jemedari Said Atoa Mpya: Siioni Yanga Ikivuka Makundi Ligi ya Mabingwa Msimu Huu Mchambuzi Mkongwe wa Soka Nchini Jemedari Said Amesema kwamba Klabu ya Yanga imekuwa ikiendeshwa kihuni na Viongozi wake Jambo linaloweza kusababisha Klabu hiyo Kushindwa hata kufika hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Msimu Huu unaotarajiwa kuanza hivi karibuni. “Hii Klabu kuna... Read More





