0 Comment
NAIROBI: MWANARIADHA wa Kenya Faith Kipyegon amesema anaamini kuwa atavunja rekodi ya dakika nne katika mbio zijazo ndiyo maana anaendelee na mafunzo makali. Mkenya huyo alishindwa katika jaribio lake lililopangwa maalum mwezi Juni na kuwa mwanamke wa kwanza kupenya kizuizi cha dakika nne, akitumia dakika 4 na sekunde 06.42 katika jiji la Paris nchini Ufaransa.... Read More





