0 Comment
Nimepata kuwashuhudia walinzi wengi wa kulia wakicheza soka kwenye ardhi hii ya Tanzania hapa nazungumzia wazawa na hata waliokuja wakitokea nje ya Tanzania Lakini hayupo mlinzi wa kulia mwenye mwendelezo wa kiwango cha juu mechi baada ya mechi kumzidi Shomy , bado pia hayupo beki wa kulia hatari kwenye box la wapinzani kumzidi Kapombe Kufunga... Read More






