0 Comment
DAR ES SALAAM: Baada ya kuwa pamoja kwa muda mrefu na kufanikiwa kupata mtoto mmoja, sasa msanii Marioo na mpenzi wake Paula wapo mbioni kuchukua hatua kubwa zaidi ya maisha yao ya mahusiano hadi ndoa. Katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya ‘Girlfriend’, Paula alitumia ukurasa wake wa Instagram kushiriki ujumbe uliogusa mioyo ya wengi.... Read More


