0 Comment
NIGERIA: Amy Okonkwo ametajwa kuwa Mchezaji wa thamani zaidi (MVP) wa FIBA Women’s AfroBasket 2025 kufuatia Nigeria kuonesha kiwango bora kwenye michuano hiyo iliyofanyika mjini Abidjan, Ivory Coast. Naija News inaripoti kwamba Amy Okonkwo na wachezaji wenzake waliishinda Mali kwa 78-64 katika fainali iliyofanyika Palais des Sports de Treichville. Ushindi huo unakuwa taji la tano... Read More



