0 Comment
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amezungumza kuhusu taarifa zilizoibuka asubuhi ya leo kuhusu mshambuliaji wao raia wa DR Congo Ellie Mpanzu kuwa amegoma kuwasili kambini mpaka sasa na amewazimia simu viongozi wake. Ahmed Ally ameandika ujumbe huku akiwajibu wazushi wa taarifa hizo na kuwataka wamtambulishe kwa sasabu nyota huyo hayupo... Read More









