MABOSI wa Simba wapo siriazi na ishu za usajili, sema wenyewe mambo yao wanafanya kimyakimya, wakitaka kuja kuwasapraizi mashabiki wa klabu hiyo mara watakapokuwa wakiwatambulisha kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kuanzia wiki ijayo. Inadaiwa kuwa tayari kuna vyuma kadhaa vimeshamalizana na Simba na kilichobaki ni kuweka hadharani na mmoja... Read More
FIFA imewaondolea Singida Black Stars,adhabu ya kutosajili baada ya kulipa madeni yote ya wachazaji wao watatu. Awali Singida walikumbana na Rungu la FIFA baada ya kushindwa kulipa Stahiki za wachezaji wao watatu ambao ni Mbaraka Hamza,Amade Momade na Manu Bola. Ila kwa sasa Singida wako huru kusajili kwani kila kitu kimewekwa sawa
Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Jean Charles Ahoua kwenye rada za Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria kwa ajili ya msimu ujao wa 2025/26. Kwa mujibu wa chanzo cha Habari kutoka ndani ya Simba SC kilieleza kuwa mazungumzo yanakwenda vizuri kati ya uongozi wa Simba na JS... Read More
Klabu ya Simba SC imesitisha mchakato wa kumpa mkataba beki wa kushoto Khadim Diaw kutoka Al Hilal na wameweka nguvu kwa Pascal Msindo wa Azam FC na Anthony wa Namungo FC Uamuzi huo umekuja baada ya kocha Fadlu Davids kutoridhishwa na kiwango chake, na Khadim Diaw alikuwa alishakamilisha makubaliano binafsi na Simba SC Diaw ni... Read More
KABLA ya kuanza msimu uliopita, Simba chini ya Kocha Fadlu Davids iliwaeleza bayana mashabiki na wapenzi wa klabu wasitarajie maajabu kwa timu hiyo kwa vile wanajenga kikosi. Kauli hiyo ilitolewa na mabosi wa klabu hiyo akiwamo Ofisa Habari, Ahmed Ally na hata kocha Fadlu kutokana na ukweli, Simba ilifumua kikosi kwa kutema mastaa kibao hasa... Read More
Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa kocha Fadlu amepiga pause baadhi ya sajili kuelekea msimu ujao akiwataka viongozi kutafuta Quality zaidi na kama watakosa basi ndio wachukue hao wa chezaji na miongoni mwa sajili hizo ni pamoja na ya Khadim Diaw na Rodriguez Kossi Kiungo Rodriguez Kossi anakaribia kujiunga na klabu ya Hassania Union Sport... Read More
MABOSI wa Simba wapo siriazi na ishu za usajili, sema wenyewe mambo yao wanafanya kimyakimya, wakitaka kuja kuwasapraizi mashabiki wa klabu hiyo mara watakapokuwa wakiwatambulisha kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kuanzia wiki ijayo. Inadaiwa kuwa tayari kuna vyuma kadhaa vimeshamalizana na Simba na kilichobaki ni kuweka hadharani na mmoja ya... Read More
DAR ES SALAAM: Baada ya kufikia watoto zaidi ya milioni 48 barani Afrika kupitia vipindi vyake vya Akili and Me na Ubongo Kids, shirika la Ubongo limezindua rasmi Msimu wa Tano wa kipindi maarufu cha watoto, Akili and Me, ukiwa na sura mpya, uhuishaji wa kisasa, na msisitizo mkubwa katika maendeleo ya kijamii na kihisia... Read More