0 Comment
DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Hemed Morocco, amesema kikosi chake kipo tayari kikamilifu kuanza mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), huku akisisitiza kuwa wachezaji wake wako vizuri kiakili, kimbinu na kimwili. Akizungumza na waandishi wa habari Morocco amesema maandalizi ya kikosi hicho yamekwenda... Read More