0 Comment
NIGERIA: Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria( Super Falcons), Asisat Oshoala, amekanusha tetesi zinazodai kuwa amejiondoa katika soka la kimataifa. Mchezaji huyo bora wa Afrika mara sita alitoa ufafanuzi huo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari nchini Morocco kufuatia ushindi wa Nigeria wa mabao 3-2 dhidi ya wenyeji katika fainali ya Kombe... Read More