0 Comment
DAR ES SALAAM: WASANII wa muziki wa Bongo Fleva, Sharif Juma ‘Jay Melody’ na rapa wa kike Frida Amani, waliungana Agosti 18, 2025, kuachia wimbo wao mpya uitwao “Wewe na Mimi”, na matokeo ya ushirikiano huo yameanza kuonekana mapema. Frida Amani, ambaye kabla ya kolabo hiyo alikuwa na wasikilizaji 722 pekee kwa mwezi kwenye jukwaa... Read More