0 Comment
THESSALONIKI: WINGA wa zamani wa mabingwa wa Laliga FC Barcelona Carles Perez ambaye kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya Aris Thessaloniki ya Ugiriki amekosekana katika mchezo muhimu wa kufuzu kwa Conference league baada ya kushambuliwa na mbwa katika sehemu zake za siri kama vinavyoripoti vyombo vya habari vya vya Hispania. Imeripotiwa kuwa Mhispania huyo mwenye... Read More