0 Comment
Lamine Yamal pichani na Wazazi wake wote wawili ambao wametengana huku Mama yake akiwa ameolewa tayari, lakini kwasasa wanakutanishwa zaidi na Mtoto wao katika shughuli mbalimbali ikiwemo za maisha yake ya mpira, wawili hao pia walisafiri pamoja na Mtoto wao kwenye Ndege ya kukodi kuelekea nchini China kwa ajili ya tukio la kibiashara la Mtoto... Read More