0 Comment
VADUZ: NAHODHA mpya Youri Tielemans aliingia kambani mara mbili timu ya taifa ya Ubelgiji ikiibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Liechtenstein mchezo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026 katika Uwanja wa Rheinpark Stadion mjini Vaduz huku winga Malick Fofana akifunga bao lake la kwanza la kimataifa. Maxim De Cuyper, Arthur Theate... Read More