0 Comment
Baada ya kuwasili Bongo Alfajiri ya leo Clatous Chama jioni ya leo amefanya mazoezi yake ya kwanza na uzi wa klabu ya yake mpya ya Singida black stars. 👉🏽 Kumbuka Chama amejiunga na Singida black stars kama mchezaji huru baada ya kumalizana na Young Africans. Singida Black stars wamempatia mkataba wa mwaka mmoja. 👉🏽 Mazoezini... Read More