Kitu cha muhimu ambacho Yanga wamekifanya ni kuwabakisha hii miamba ndani ya timu yao ….. Huu utatu ulikuwa kiungo muhimu kwenye Engine ya Yanga . Uwezo wa kupata kwenye msimu mzima ( sio Injury prone ) Energy yao kiwanjani umekuwa muhimili wa Yanga kupora mipira pale Wakipoteza umiliki then wazuri kufanya runs kushambulia box la... Read More
Mashabiki wa Simba ipi itakuwa pair yako bora ya ulinzi kuhakikisha unabeba taji la ligi na kufanya vizuri zaidi kimataifa. Hamza x Rushine De Reuck Chamou Karaboue x Hamza Chamou Karaboue x Rushine De Ruck Au wote watatu waanze?
MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Zubeda Sakuru amesema kuwa mkataba ambao wameingia na wadhamini wapya ambao ni BetWay unakwenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu Tanzania kutokana na thamani iliyopo kwenye mkataba huo wa miaka mitatu. “Mkataba ambao tumeingia unakwenda kuleta mapinduzi kwenye mchezo wa soka hapa Tanzania na unakwenda kuongezea nguvu... Read More
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26 kitaweka kambi nchini Misri. Ikumbukwe kwamba leo Julai 29 2025 Simba SC inatarajiwa kutangaza mdhamini mpya na ratiba nzima ya maandalizi kuelekea msimu wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kuna wachezaji wapya ambao watatambulishwa hivi karibuni ndani ya... Read More
Betway Mdhamini Mkuu Simba, Walambi Bilioni 20 “Mkataba ambao tumeingia unakwenda kuleta mapinduzi kwenye mchezo wa soka hapa Tanzania na unakwenda kuongezea nguvu dhamira ya Simba kuwa klabu namba moja barani Afrika.” “Udhamini huu ambao thamani yake ni Bilioni 20 kwa miaka mitatu, unaonyesha namna Simba imedhamiria kuleta mabadiliko ya kuwa klabu kubwa.”- CEO Zubeda... Read More
WAKATI jina la kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum likitajwa kuwa miongoni mwa wale ambao wamefuatwa kwenye sanduku la usajili la Simba SC katika kina cha Bahari ya Hindi inaelezwa kuwa jina hilo halipo. Taarifa zinaeleza kuwa jina la Fei limekutana na ugumu mzito kuwa ndani ya Simba SC hivyo jitihada zinaendelea kufanyika mpango... Read More
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Jean Ahoua huenda akaondoka ndani ya Bongo kwenda kupata changamoto mpya. Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Ahoua yupo kwenye rada za Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria kwa... Read More
Kwa aina ya usajili wa Fadlu Davids namuona akifanya mabadiliko ya mfumo kutoka 4-2-3-1 kwenda 4-3-3 mabadiliko yamechochewa na aina ya wachezaji ambao Simba SC wamesajili msimu huu. Ubora wa wengi wao uko kwenye mfumo wa 4-3-3, ambao unatoa nafasi pana zaidi kwa viungo kushiriki mashambulizi na kuhimili presha ya mchezo wa kisasa. Hata hivyo,... Read More
Kutoka kikosi cha kwanza cha Simba SC, wachezaji 5 wamevivutia vilabu tofauti tofauti kutoka Algeria, Morocco na hata hapa Tanzania 🇩🇿🇲🇦🇹🇿: 🔴Jean Charles Ahoua ➡️ JS Kabylie 🔴 Steven Mukwala ➡️ JS Kabylie 🔴 Lionel Ateba ➡️ Maghreb de Fès 🔴 Che Malone ➡️ USM Alger 🔴 Kibu Denis ➡️ Ofa kutoka Algeria (akiwa kwenye... Read More