AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa Fadlu yupo likizo ila anafanya kazi kwa moyo mkubwa akiwa Tanzania. “Katika vitu ambavyo tunapaswa kujivunia kwa hali na mali Wanasimba ni uwepo wa Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Yupo likizo lakini alitoka Afrika Kusini na kuelekea Dubai kuongea na Mo. “Kwa sasa... Read More
NI kama vile mabosi wa Simba sasa wameamua kujibu kwa vitendo baada ya kuwepo kwa kelele nyingi mtandaoni juu ya kushindwa kufanya usajili na badala yake kutoa ‘thank you’ tu kwa waliokuwa nyota wa timu hiyo, kwa kumshusha beki wa kushoto wa kurithi nafasi ya Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Tshabalala aliyedumu Msimbazi kwa muda wa miaka... Read More
Zaka Zakazi🎙”Azam Haiwezi kumuuza Feisal kwenda Simba sababu Simba hiyo Pesa hawana, labda nikuambie mkataba wa Feisal unakipengele kama atauzwa kwenda Simba basi Yanga inabidi alipwe bilioni Moja (Yaani kwenye mkataba imetajwa kabisa Simba), sasa Simba atatoa shilingi ngapi ili Azam imlipe Yanga Bilion Moja na Azam abakiwe na Hela Ndio maana nasema Simba hiyo... Read More
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Marcio Maximo ametambulishwa kama kocha mkuu mpya wa klabu ya KMC FC akichukua mikoba ya Kally Ongala aliyetupiwa virago mwezi Mei kutokana na mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo. Maximo (63) raia wa Brazil ambaye pia amewahi kuinoa Young Africans Sc anakumbukwa zaidi kwa kuiwezesha Taifa Stars... Read More
Mwanza, Julai 28, 2025 – Klabu ya Pamba Jiji FC imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha wao mkuu Fred Felix Minziro, baada ya pande zote mbili kuridhiana kuhitimisha ushirikiano wao. Taarifa rasmi ya klabu imethibitisha kuwa hatua hiyo imefikiwa kwa mazungumzo ya amani, bila mvutano wowote, na kwamba uongozi unatoa shukrani kwa Kocha... Read More
Klabu ya JS Kabylie imetuma ofa rasmi ya USD 600,000 (Tshs Bilioni 1.5) ili kupata saini ya Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Jean Charles Ahoua kuelekea msimu ujao Simba SC wanaipitia ofa hiyo na ikiwalidhisha watamuuza
Klabu ya Yanga imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao raia wa DR Congo Maxi Mpia Nzengeli wa kuendelea kusalia kwa Mabingwa hao wa Nchi hadi mwaka 2027. Nyota huyo alijiunga na wananchi mwaka 2023 akitokea Union Maniema inayoshiriki ligi kuu ya nyumbani kwao Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Aliyekuwa kiungo mahiri wa Yanga SC, Khalid Aucho, ametoa kauli ya kushangaza kupitia TikTok Live baada ya kuachana rasmi na mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania Bara. Katika mazungumzo yake na mashabiki, Aucho alieleza kuwa hana tatizo lolote kujiunga na watani wa jadi wa Yanga, Simba SC, endapo watamwonyesha nia ya kumsajili. “Hakuna shida kabisa,... Read More