0 Comment
Mkazi wa mtaa wa Ndaoya kata ya Chongoleani eneo la Manyungu ambae ni mnufaika wa mradi wa EACOP Bwana Loita Naftali akisalimiana na mratibu wa kitaifa wa mradi kutoka TPDC Asiadi Mrutu alipomtembelea. Bwana Loita Naftali akiwa kwenye pikipiki ambayo ni moja ya matunda ya fidia mradi wa EACOP. …………. *Wananchi wampongeza Mheshimiwa Dkt. Samia... Read More