0 Comment
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Washiriki mbalimbali wa Mkutano unaohusu masuala ya Nyuklia Afrika uliofanyika Juni 30, 2025 Kigali nchini Rwanda. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Waziri Mkuu wa Rwanda, Mhe. Dkt. Edouard Ngirente wakati alipowasili katika Mkutano unaohusu... Read More