0 Comment
Kamati ya Wataalamu ya Menejimenti ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imefanya ziara ya kutembelea Mradi wa kufua Umeme wa Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ulioko Rufiji Mkoani Pwani. Kamati hiyo imetembelea mradi wa kufua Umeme wa Julius Nyerere, tarehe 11 Desemba, 2024 kwa lengo la kujifunza na kupata uelewa wa pamoja wa namna mradi... Read More