0 Comment
Na Sophia Kingali. WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kutokubweteka na kiwango cha elimu walichokipata bali wajiendeleze zaidi kwa maslahi mapana ya Taifa, maendeleo yao na jamii zinazowazunguka. Pia, amewapongeza chuo hicho kwa kuanzisha mitaala mipya inayolenga kuzalisha wataalamu katika... Read More