0 Comment
Mwamvua Mwinyi, Mafia Desemba 9, 2024 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaendelea na maboresho ya miundombinu katika kisiwa cha Mafia, ikiwemo kurekebisha tshari iliyozama Septemba mwaka huu, ili kurejesha huduma muhimu za usafiri wa majini. Sambamba na hilo, TPA kwa kushirikiana na wataalamu, inaendelea kutafuta eneo sahihi kwa ajili ya ujenzi wa bandari... Read More