0 Comment
Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Balozi Bishwadip Dey, tarehe 3 Oktoba, 2024 amefanya ziara ya kutembelea Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali iliyoko Mtumba, Jijini Dodoma, ambapo lengo kubwa la ziara hiyo ni kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu masuala nambalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na India.... Read More