0 Comment
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika ambaye ni Spika wa Bunge la Sierra Leone Mhe. Segepoh Thomas wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Gran Melia Jijini Arusha kufungua Mkutano wa 53 wa Mwaka wa Mabunge... Read More