0 Comment
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akihutubia wakati wa Mkutano Mkuu wa Kumi wa Wadau wa Lishe nchini uliofanyika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza tarehe 02 Oktoba, 2024. Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akizungumza jambo na Katibu... Read More