0 Comment
“Wananchi wa Kisesa tunaenda kuandika historia kubwa kwenye nchi yetu, tupo kwenye mkutano huu pamoja kwa ajili ya maendeleo. Waziri Hussein Bashe Unakaribishwa sana katika Jimbo langu la Kisesa,” amesema Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina. Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo ameendelea na ziara yake mkoani Simiyu leo tarehe 13 Septemba 2024 ambapo... Read More