0 Comment
BAADHI ya bidhaa zilizokamatwa zikiwa zimepitwa na muda wa matumizi kufuatia ukaguzi uliofanywa na ZFDA NA FAUZIA MUSSA WAKALA wa Chakula na Dawa (ZFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wamefanikiwa kukamata bidhaa za vyakula na vipodozi zilizokwisha muda wa matumizi katika maduka mbalimbali ya mkoa wa mjini magharibi. Bidhaa hizo ni pamoja na mafuta... Read More