0 Comment
Na Mwandishi wetu, Mirerani AFISA madini mkazi (RMO) Mirerani Nchagwa Chacha Marwa amewapa miezi miwili wamiliki wa migodi ya madini ya Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kuhakikisha kila mgodi unakuwa na matenki ya maji ili kuepuka maradhi ya vifua kwa wachimbaji. RMO Nchagwa ameyasema hayo wakati akizungumza na wachimbaji wa... Read More