0 Comment
Na Sophia Kingimali. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amesema matukio ya utekaji, Kulawiti, Kunyanyasa, Ubakaji, Utekaji na Mauaji yanayoendelea nchini yanatia aibu na doa kwenye nchi, hivyo amewataka viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwajibika. Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 10,2024 jijini Dar es salaam Mkurugenzi huyo... Read More