0 Comment
Padri Nicolaus Ngowi wa shirika la Damu Azizi ya Yesu amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea alasiri ya leo mkoani Kilimanjaro. Taarifa rasmi ya kifo chake imetolewa na Mkuu wa shirika Provisio ya Tanzania, Pd. Vedasto Ngowi. Wakati huo huo Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chediel... Read More